Thursday, October 31, 2024

Change your mindset

 *Ukweli Usioujua Kuhusu Mitazamo, Misimamo, Imani,FikraUliyoijenga Kwa Muda Mrefu Sana*. 


Utafiti wa kisaikolojia uliofanyika kuhusu Malezi ya watoto uligundua kuwa mtoto anapokuwa mdogo hadi Anapofikisha miaka mitano Hadi kumi huwa anaambiwa maneno hasi na Mzazi wake au mlezi wake zaidi ya mara Elfu Arobaini (40,000).


Yaani anaambiwa maneno ya kumkatisha tamaa kama vile "acha","hapana",'huwezi",Tulia hapo chini"n.k.


 Lakini pia utafiti huo uligundua kuwa mtoto huyo hyuo  huwa anaambiwa maneno chanya ya kumtia moyo,kumfariji,na kumjenga mara Elfu tano (5,000) kama vile "ndio","unaweza","utaweza"


Maana yake ni kuwa mtoto huwa anaambiwa maneno hasi mara nane Zaidi ya Maneno Chanya. Wewe mwenyewe ni shahidi kipindi unakua ulikua unaambiwa maneno ya aina Gani na mzazi au mlezi wako.


Kitu kikubwa ambacho wazazi au walezi wanakuwa hawakijui ni kuwa "unapomwambiw mtoto wako maneno hasi mengi mara Kwa mara huwa yanapokelewa na sehemu ya ubongo iitwayo"conscious mind". 


Conscious mind inapoendelea kuyapokea maneno hayo mara Kwa mara,itayapokea na kuyapeleka katika sehemu ya ubongo iitwayo "subconscious mind" ambayo kazi yake ni kuyahifadhi Kwa sababu tayari imeshaamini kuwa ndio UKWELI wa mambo.


: Na kazi ya "subconscious mind" ni kutengeneza "*MINDSET*" yaani unakiamini kitu kiasi kwamba hakuna mtu anayeweza kukufanya Uache Kukiamini. 


Ndio Maana watu wengi tumejengewa mindset hasi na wazazi au walezi wetu kutokana na yale maneno hasi tuliyokuwa tunaambiwa mara Kwa mara. 


Ili uweze kubadilisha *MINDSET* hasi uliyojengewa/Uliyoijenga tangu unakua unatakiwa ufanye kitu kiitwacho "*MIND REPROGRAMMING"*.


Na Katika hatua ya kufanya "*MIND REPROGRAMMING*" unatakiwa ufahamu mambo yafuatayo KWANZA:


1. Ufahamu kiundani zaidi kuhusu sehemu hizi mbili za ubongo ziitwazo "Conscious Mind" na "Subconscious Mind". 


2. Ufahamu "*AUTHORITY FIGURES"* mbalimbali ambazo zimekufanya ujenge "*MINDSET*" uliyonayo, yaani ujue Kila neno uliloliamini umelipokea kutoka wapi aidha ni Kwa *WAZAZI,WALEZI, WALIMU,BOSS WAKO,MKE/MUME/MPENZI WAKO/KIONGOZI WAKO WA DINI*


3. Unatakiwa pia ufahamu hatua tatu Rahisi unazotakiwa kuzitumia ili ufanye "*MIND REPROGRAMMING"*, Ambazo ni "*UNLEARNING","NEW LEARNING","RE-LEARNING"*


Ukiyafahamu haya mambo MATATU tayari utaweza kubadilisha MINDSET YAKO kutoka kuwa "Negative" na kuwa "positive". 


Mambo haya yote yanapatikana katika kitabu Changu Kiitwacho "*MIND REPROGRAMMING*".


 Kitabu kina Kurasa 30 Tu. Kila kitu unachokihitaji kufanya "*MIND REPROGRAMMING"* nimekuelewa Kwa namma rahisi kabisa. 


Thamani Ya Soft Copy hii ni Tsh. 5,000/-,lakini Leo Utaipata kwa Ofa ya Tsh. 1,000/- Tu Ndani ya masaa 24. 


Natoa nafasi Tano tu Kwa Wahitaji wanaotaka kubadilisha *MINDSET* zao. 


*Ni Mimi Raymond Albanus*


*Author Of 12 Books Until Now.*

 Karibu sana katika blog yangu hii kwaajili ya kuelimishana na mambo mengine yahusuyo jamii kwa ujumla  tutajifunza mambo mengi sana Asanteni.

Sunday, October 27, 2024